Pichani kulia ni Kiongozi wa bendi ya K-Mondo Sound,Richard Mangustino akizungumza na wanahabari mapema leo kwenye kiota cha maraha cha Zhoghua,Morocco jijini Dar,kuhusiana dhumuni la kuitambulisha band ya k-mondo sound pamoja na kwa mashabiki kwa ujumla ili kuweza kupanua zaidi muziki wao ambao unatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini kwani wengi wamezoea kusikia band zingine zikisikika.Kati ni Meneja wa Bendi,Eric Kussaga sambamba na Rais Elifuraha Kiariro
Baadhi ya wanamuziki wa bendi ya K-Mondo Soud wakiwa jukwaani kwa minajiri ya kuwaonesha Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali,ni namna gani walivyojipanga na kujiandaa katika kuhakikisha bendi hiyo inafanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa dansi.
======= ==========
Band ya k-mondo sound wakati inaanza ilianzishwa mwaka 2009 kwa jina la MAIRIMAA BAND,Ikiwa na wanamuziki kumi wakiwepo waanzilishi Elifuraha Kiariro na Richard Mangustino,Toto Tundu,Vumilia,Elly Chinyama,Clarina na wengine wengi ambao waliacha Band na kwenda kujiunga na makundi mengine.
Band ya K-MONDO iliweza kufanya maonyesho sehemu mbali mbali nyingi hapa mjini bila ya kutetereka. Dhumuni la kuwaita hii leo hapa ni kuitambulisha band ya k-mondo sound kwenu pamoja na kwa mashabiki kwa ujumla ili kuweza kupanua zaidi muziki wetu ambao unatarajia kuleta mapinduzi katika tasnia ya muziki wa dansi hapa nchini kwani wengi mmezoea kusikia band zingine zikisikika.
Band tayari ina album yenye jumla ya nyimbo kumi inayokwenda kwa jina la MAGAMBO,albamu hiyo inatarajia kuingia sokoni baada ya mwezi huu wa ramadhani,baadhi ya nyimbo hizo ni Nelly,Flora,Kidole gumba na Magambo iliyobeba jina la albamu Vile vile tunatarajia kuzindua band yetu rasmi baada ya kuingiza albamu yetu sokoni na matarajio yetu ni kufanya maonyesho katika mikoa mbali mbali hapa nchini ili tuweze kutambulika zaidi pamoja na kuonyesha mtindo wetu wa kibajaj kama mnavyojua k-mondo sound inatambulika kama wazee wa kibajaj
Kwa sasa band ya k-mondo sound inatumbuiza sehemu mbali mbali ikiwemo zhonghua garden kila alhamisi,Triz motel siku ya ijumaa,Nyamachabesi siku ya jumamosi na jumapili ni pale Malanja kunduchi.
ERICK KUSSAGA MENEJA WA BAND K-MONDO SOUND
2 AUGUST 2012.

Picha ya chini imetulia sana...nimeipenda!!!Ile ya juu naona mihotuba tu!!!!
ReplyDeletedada ungejia miguu yako ilivyo usingevaa hicho kimini! unajichora mdada! nani alikudanganya unapendeza?
ReplyDeletesidhani kama mguu ni tatizo ila huo mkorogo ndio umegoma katika magoti.
ReplyDeleteChe Guavara na ww unayefuatia kwa hizo lugha:
ReplyDelete1:Kwa wanawake:Kama wewe ndiye muhusika-Ungejihisi vipi?
2:Kwa Wanaume:Kama ni dada yako,mke wako,mwanao,shangaziyo ,mama yako mzazi,n/k ungejihisi vipi.Tafakari
David V
SACCOS chache (njia au mifereji ya kipato rahisi) zilizobaki maishani hapa Bongo Tambarale zilikuwa ni hizi tatu:
ReplyDelete1.Siasa
2.Michezo
3.Dini
Na sasa kumeibuka SACCOS ya nne (4)
Nayo ni
4.Muziki !