Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Viongozi wa CCM,alipowasilikatika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini anzibar,kushiriki katika kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.
 Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume, akiendesha kikao cha kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed Shein.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake, Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,wakiwa   katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,kilipofanyika kikao hicho leo. Picha na Ramadhan Othman

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ex waziri bi asha nakuona mwanangu ume mechisha kianao aina ccm oyeeeeeeeeeeeeeee kwenda mbele

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...