CUF – Chama Cha Wananchi, kitafanya Mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Jangwani siku ya Jumapili tarehe 09/09/2012 kuanzia saa 6 mchana hadi 12 jioni. 

Viongozi wote wa kitaifa watahudhuria.
Nyote mnakaribishwa!

ASIBAKI MTU NYUMBANI

Ni “Mchakamchaka mpaka 2015”
Hakiiiiii....!
Sawa Kwa Wote!!!!


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa


  1. Kiboko ya kisonge.

    ReplyDelete
  2. how did this post get to michuzi blog?au ndio cuf ni kivuli cha ccm??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...