Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha Modern iliyopo Kisongo wilayani Arumeru mkoa wa Arusha wakiimba Shairi wakati wa sherehe za ufunzi wa Mdahalo juu "Faida na Changamoto za mtengamano wa kisiasa wa Afrika Mashariki" leo mjini Arusha.
Mmoja wa wanafunzi wa elimu ya juu akichangia mada juu ya Faida na Changamoto za mtengamano wa kisiasa wa Afrika Mashariki leo mjini Arusha.
Mkurugenzi wa Miundombinu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Philip Wambugu(wa tatu kulia)Meneja Programu wa GIZ,Miriam Heidtmann(wa pili kulia)wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye Mdahalo huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...