MWALIKO
WA WANACHAMA NA WANANCHI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE DODOMA KUANZIA TAREHE 30
JULAI – HADI 8 AGOSTI 2012
Mfuko
wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) unawakaribisha wanachama wote wa Mfuko
na wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vitongoji vyake katika viwanja vya Nzughuni
kwenye Maonyesho ya Nane Nane katika banda la Wizara ya Fedha.
Katika
Maonyesho haya wanatoa huduma zifuatazo:
1.
Kupata taarifa ya michango
kwa mwanachama
2.
Kutoa taarifa ya malipo
ya mafao kwa wastaafu na wategemezi
3.
Usajili wa wanachama
ambao hawajasajiliwa
4.
Uhakiki wa wastaafu
na wategemezi wote ambao hawakuweza kuhakikiwa mwezi Julai 2012.
5.
Taarifa ya Uwekezaji
wa Mfuko
“HIFADHI YA JAMII KWA WOTE – JIUNGE NA PSPF”



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...