Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini wakifuatilia kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial Guinea. (Picha na Pascal Shelutete)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hawa Sullivan bomu tupu. Hapa kwetu walituachia nini? Sasa wanazunguka kwingine kuwatapeli. Kule Rwanda Rais Kagame aliwastuka na kuwafukuza!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...