Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (kulia) akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dodoma juu ya mchango wao katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi itakayoanza usiku wa kuamkia Agosti 26, mwaka huu.
Wazee wa Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kumsikiliza Mkuu wa Mkoa Dr. Rehema Nchimbi (Hayupo pichani) katika mkutano baina yao juu ya mchango na ushiriki wa wazee katika kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi itakayoanza usiku wa kuamkia Agosti 26, mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. yaani wasipobariki, mambo yatakuwaje?

    Huu ushirikina mithili ya kuruka kwa ungo!

    ReplyDelete
  2. rehema acha nyama choma unene sio mzuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...