UONGOZI WA FC KILIMANJARO SWEDEN  UNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA MZAZI WA MCHEZAJI WETU WILLIAM JOHN WILLIAM MZEE WILIAM WALONGA KILICHOTOKEA JANA TAREHE 12-8-2012 DAR ES SALAAM TANZANIA. 

WAPENZI NA WACHEZAJI WOTE PAMOJA NA WATANZANIA WALIOPO SWEDEN TUNAOMBA MFIKE LEO NYUMBANI KWA BWANA WILLIAM JOHN  GRIMSTAGATAN 75 , GRIMSTA KWA TRAIN NI RAHISI UKIFIKA VĂ„LLINGBY TUNAOMBA MFIKE LEO SAA 10 JIONI ILI TUWEZE KUMCHANGIA MWENZETU AWEZE KUWAHI MAZISHI YA BABA YAKE MZAZI. 
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA

ASANTENI
UONGOZI
FC KILIMANJARO SWEDEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...