Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Salome Mayenga akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na Loiruck Mollel (kulia).
 Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Wilbert Muganyizi akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa

promosheni hiyo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Yahaya Makame akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo.

 Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Justin Fabian  akionyesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na Judith Motta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...