Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Bw. Imani Kajula (kushoto), akimkaribisha Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga katika futari iliyoandaliwa kwa wateja wa NMB wa Zanzibar. Akishuhudia ni Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam NMB Bw. Salie Mlay.

Kamishina wa Polisi Zanzibar Bw. Musa Ali Musa (wa pili kulia) akisalimiana na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NMB, Bw. Imani Kajula (wa nne kulia). Kulia kwake ni Meneja wa NMB Zanzibar Bw. Mluku Maggid wakati wa futari ilyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa NMB Zanzibar.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga (kulia) akiwa na Bw. Haji Dau (Ofisa wa Huduma kwa Wateja NMB Zanzibar), katikati ni Meneja wa NMB Zanzibar Bw. Mluku Maggid wakati wa futari ya wateja wa NMB wa Zanzibar.

Wateja wa NMB Zanzibar wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa wa NMB mara baada ya futari hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...