Wanakijiji wa Unguja Ukuu Kaepwani, Wilaya ya Kati Zanzibar, wanaomba msaada wa kuendeleza ujenzi wa Msikiti wa Al-Nour ulioanza Januari 2007 ili uweze kukamilika na kuanza kutumika. Kamati inapokea msaada wowote ikiwa ni wa fedha, vifaa au hata ujenzi wenyewe. Kwa msaada wa fedha unaweza kuingiza katika Akaunti ya Benki ya Kiislamu PBZ Mwanakwerekwe – Zanzibar - Masjid Al-Nour Akaunti. Namba. 51120100003183.
Kwa mawasiliano: Katibu wa Kamati ya Ujenzi wa Masjid Al-Nour
S.L.P 1310, Zanzibar
Simu: +255-777-470446 au +255-787-470446
Email: m_mzee@yahoo.co.uk au mzeemohamed@hotmail.com
Tunatanguliza Shukurani
Wabillahi Taufiq
==========================================================
The villagers of Unguja Ukuu, Kaepwani, Cental District Zanzibar, request good Samaritans to assist in the finishing of the construction of Masjid Al-Nour which started in January 2007. The committee accepts any assitance in monetary, construction materials or the actual construction itself. For money contributions you can credit it at the PBZ Islamic Bank, Mwanakwereke Branch Zanzibar – Masjid Al-Nour, Account Number 51120100003183.
For Contacts:
Secretary - Masjid Al-Nour Construction Committee
P.O.Box 1310, Zanzibar
Telephone: +255-777-470446 or +255-787-470446
Email: m_mzee@yahoo.co.uk or mzeemohamed@hotmail.com
Thanking you in Advance for the Assistance;
Wabillah Taufiq
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...