Operation ya kukamata wezi wa umeme kupitia mtandao, ambapo kuna watu wameweza kuzalisha token za luku zinazoweza kufanya kazi katika mita zetu. na sasa zipo sokoni
| Fundi wa Tanesco aking'oa moja ya mita iliyokutwa na ghost token katika jengo la Sophia Chang'ombe jijini Dar es Salaam. |
Mita za umeme ambazo zinatuhumiwa kuhusika na wizi huo
. Meneja wa uhusiano Tanesco, Bi. Badra Masoud akiongea na waandishi wa habari katika operasheni ya kukamata wezi wa umeme kupitia mtandao{ghost token}
| Meneja wa Sophia House akihojiwa tayari kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. |
. Meneja wa Sophia house akikiwaka saini yake kuashilia kushiriki ukaguzi wa mita zake.


Hizi ni longolongo za kutengeneza ULAJI.
ReplyDeleteMmezoea kutisha tisha watu ili watoe KITU KIDOGO
Ndio maana umeme unakuwa bei ghali kumbe tunawabebea sisi wanyonge huu mzigo. Hao ni wahujumu uchumi na mafisadi, washughulikiwe ipasavyo pamwe na washirika wao.
ReplyDeleteToa mikono yako mfukoni. Uko chini ya ulinzi.
ReplyDeleteZebadayo msema kweli?...mm nilisepa mapema coz niristuka mapema kwa hapo sipo watu ambao sio watz halisi ndio wanaoiludisha nchi nyuma..kwa sababu they dont care about anything..watu kama hawa ndio wanasitahiri kabisa kufungwa maisha ili liwe fundisho kwa mtu yeyote yule ambae si mtz halisi kuchezea maisha ya watz anavyotaka...na sihayo tu ndio maana nilisema sikuchache za hapo nyuma..kwamba wakati ndio huu watz tuamke kwenye kutoa maoni yetu ya katiba mpiya ili tuondoe mauza uza yote...mm nnahasira na huyo Zebadayo msemakweli....kama una watoto tafuta shule za kihindi au waraabu ili uandikishe wasome hizo shule kama hutokutana na kizaa zaa toka kwao...na hata kazi hivyo hivyo..kuna siku moja wakati nikiwa huko..nimekutana na bango linasomeka hivi...kuna nafasi za kazi lakini waombaji wawe wa asian tu...kwakweli ndugu zangu mm hilo bango ndilo lililo nikimbiza kwenye hiyo nchi...kwahiyo kwenye maoni ya hii katiba mpiya nakuombeni mtoe maoni yakutaka kuwekwe vipengele vya mtoto wa kitz anahaki ya. Kusoma shule yoyote ile iwe ya kiarabu au ya kihindi...na kazi pia hivyo hivyo..mahospitalini pia wanahaki ya kutibiwa..na hata siku moja katika maisha yangu..sijawahi kuona jamii ya kihindi au kiarabu wakishiliki kwenye kikimo cha jembe huko vijijini kama wanavyoteseka kina mamazetu kina dadazetu kina kakazetu...mababu zetu..na mabibi zetu..kwahiyo inatosha washakula sana nguvu za ndugu zetu..nao washiliki kikamirifu kama ndugu zetu wa vijijini...asanteni sana...amani kwa wadau wote..ni mm tajiri wa mawazo endelevu..sikusoma ila naona mbali.
ReplyDeleteyaani wafanyakazi wa Tanesco wanaonekana wana hofu/wasiwasi kuliko huyo Boss, yuko comfortable kabisa..Chezea pesa weye...issue inaenda kumalizwa hiyo na mabosi...
ReplyDeleteShukurani kubwa mambo haya ni ukweli. Nime shasikia wakati nilipo kuwa Tanzania na mimi nime shuhudia. Wakati moja nili kuwa nina tumia hizi duka za computa kwenye area ya kariako. Tajari wa duka akaanza kumfokea kijana "Wewe mwaafrika huna akili,kila siku nina kuonesha vipi kutumia,mjinga wewe kila siku onataka konesha tu,mjinga huna akili Waafrika hamna akili". Mteja anafokewa! Kwenya duka wali kuwa vijana kimya wamenyamaza. Siku ona sababu ya kuendelea kutumia computa.kwa nini mtu utupe hela zako mahali usio heshimwa?
ReplyDeleteUsikonde mdau ulieshuhudia mwenye duka kumtukana mteja wake....najiandaa kuandika waraka maalumu kwa watanzania wote kila mdau ausome kisha tuone nn cha kupendekeza kwenye hii katiba mpiya kuhusu huo waraka maarumu..kwa watanzania wote..ni mm tajiri wa mawazo endelevu..amani kwenu wadau.
ReplyDeleteHamna ya Muhindi hapa. Kama wakubwa wanakula basi watu wanataka kula sahani moja nao. Serikali kuwanyanyasa wananchi inawalazimu kufanya vitu kama hivyo. Itaendelea tu..
ReplyDeleteUpuuzi mtupu bwana..Kwanini uwalalamikie wahindi huku ni viongozi wetu wanaotuibia?
ReplyDeleteZebadayo msema kweli?...mm nilisepa mapema coz niristuka mapema kwa hapo sipo watu ambao sio watz halisi ndio wanaoiludisha nchi nyuma..kwa sababu they dont care about anything..watu kama hawa ndio wanasitahiri kabisa kufungwa maisha ili liwe fundisho kwa mtu yeyote yule ambae si mtz halisi kuchezea maisha ya watz anavyotaka
Angekuwa kaiba kuku angekuwa kashachomwa moto!!!
ReplyDeleteSasa nafikiri ni wakati mzuri sana kwa watanzania msukumo ulio nyuma ya haya madhambi kujitokeza nafikiri watanzania mnaelewa yana kotoka kwa hiyo bado kuna mengi yaliyojificha this how people survive from thin air in the city of our country mmeona taratibu wanayasema bado kuna madudu mengi tunayasubiri
ReplyDeleteWafanyakazi wa Tanesco wanahusika pia na kuunganishia watu umeme kinyemela ili nao walipwe chochote. Kesi hizi zikipelekwa mahakamani watuhumiwa no wataje mafundi wa tanesco walioshirikiana nao kuiba huo umeme. wapo mafundi maalum wanajulikana kwa kazi hiyo ya ubabaishaji wa kufunga mita za umeme kinyemela
ReplyDeleteHivi nyie ,hizo visa za kwenda nchi za nje mlipataje ??? mbona mko duni namna hii, kuna watoa maoni wawili watatu wametoa madudu ya kutisha , ni aibu tupu, eti wazawa na wahindi, je unajua vipi huyu mhindi kama hakuzaliwa Tanzania, na hata kama hakuzaliwa lakini ana uraia wa kitanzania so hana tofauti na wewe. Je huko si tunawaona mkiijiwa juu mnaandamana, HAKI sawa, kila leo huko mnaomba haki zenu na sio wazawa, kazi za kubeba mabox mnapewa na bado mnataka kuvua shati muwaonyeshe wazungu kwamba na nyie ni binadamu-kwani hawajui ??? na ticketi mmekata wenyewe za kwenda huko-mwaka juzi simulichoma majumba London kwa kutaka haki. Tabaka za ubaguzi bongo hazina nafasi, huyu mhindi si ajabu hizo mita kafungiwa na hao hao tannesco, sasa kwa vile kuna vuguvugu ya kupata utendaji unaoeleweka , ndiyo maana tunayaona haya -lakini madudu ya tannesco yameanza tangu enzi ya Nyerere.kwa ufupi ni kwamba , sisi sote watanzania tunatakiwa tuamuke tuwe wazalendo kwa faida ya Taifa letu, siyo kulihujumu na kutaka utajili wa haraka haraka Zebedayo msema kweli
ReplyDelete