Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Muasisi wa Taasisi ya International  Youth Fellowship (IYF) ya Jamhuri ya Korea, Mchungaji Park Ock Soo baada ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mchungaji Park Ock  Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya  International Youth Felloship  (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto)   kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini  Dkt. Kansolele  Ntevi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...