***RAMADHAN NDO HIYOO INAONDOKA ZAKE,IMETUACHA SISI NA DUNIA YETU***
TUJIULIZE SISI WAJA WA MWENYEZI MUNGU.JE IMETUACHIA NINI?NA KAMA HAIJATUACHA NA CHOCHOTE!!!JE TUNAUHAKIKA WA KUIPATA RAMADHANI YA MWAKANI?
JAMANI HICHO NI KITENDAWILI,HAKUNA MWENYE UHAKIKA WA KUIPATA RAMADHANI NYINGINE,EITHER TUTAKUWA TUMEISHA TOWEKA ULIMWENGUNI AU TUTAIPATA LAKINI UWEZO WA KUFUNGA HAUTAKUWEPO*****SWAUM ZETU,IBA'ADAH&DUAH TULIZO ZIOMBA.INSHA'ALLAH ALLAH AMETUPOKELEA,TUWE NA IMANI HIYO!
***CHA MUHIMU SASA KWETU!! NDUGU ZANGU,MACHAFU YOTE TULIYO YAACHA KWA AJIR YA RAMADHANI,,NAWASIHI NDUGU ZANGU TUSIYARUDIE KAMWE.KWANI HATUJUI NI LIPI LITAKALOTUKUTA KESHO!***WALIOKUWA WAKISWALI JAMA'A MSIKITINI,WALIOAMUWA KUJISTIRI RAMADHANI WASIACHE WAENDELEE,WALIOAMUWA KUWAHESHIMU WAKE AU WAUME ZAO,WALIOAMUA KUWAPUMZISHA MABOY AU MAGIRLFRIEND ZAO,KUTOA AU KUPOKEA RUSHWA,KULA HARAMU,KUSENGENYA,KUSEMA UONGO,KUIBA,KUCHONGANISHA WATU,KUMUHARASS JIRANI,KUZINI,KUNYWA POMBE,KWENDA KWA WAGANGA,,HATA RAMADHANI IKIISHA TUSIACHE TUENDELEE NDUGU ZANGU KUWA WAJA WEMA MPAKA SIKU YA MWISHO WA UHAI WA KILA MMOJA WETU.
*****WALIOJITOLEA WAKAWA WANAFUTURISHA WATU,AU KUTOA MISAADA WASIACHE WAENDELEE,,KWANI NJAA IKO SIKU ZOTE KWA MASIKINI ASOKUWA NA UWEZO.
KULA MWEZI MMOJA TU HAIWEZI KUCOVER MIEZI 11 ILIYOBAKI.NA ALLAH ANAONA KILA ANAYETOA MSAADA SI KWA RAMADHANI TU.TUENDELEE NDUGU ZANGU KUYAFANYA MEMA KWANI TUKIBAHATIKA KUIPATA RAMADHANI NYINGINE DHAWABU ZITAZIDI KUONGEZEKA NA TUTAKUWA NA UHAKIKA WA KUINGIA KATIKA FIL-DOUS YA ALLAH,AMBAYO HAINA MWISHO WA KUELEZEWA,KUWAZIWA AU KULINGANISHWA!!!
***YA'ARABI UTUKINGE NA JAHANNAM,KWANI SISI TUNAIOGOPA MNO MNO MNO,KWANI HATUJUI UKALI WAKE UKOJE,MILI YETU HAIWEZI KUSTAHIMILI MOTO WA DUNIANI,,ITAKUWA JAHANNAM YA'ARABI!!!(CHECHE MOJA YA JAHANNAM NDO MOTO WA DUNIA NZIMA,,,,MUUUH MOLA WETU TUKINGE NA JAHANNAM!!!
***UTUJA'ALIE PEPO YAKO TUKAE HUMO TUTULIE MILELE NA MILELE,KWA BARAKA ZA RAMADHANI HII.
*****RAMADHAN MAQBOUR,IJUMA'A KAREEM AND EID MUBARAQA!!!!!!!
AHLAM,,,,LONDON


mashallah
ReplyDeleteumeolewa?
Naomba kurekebisha hapo, siyo MAQBOOR ni MAQBOOL au مقبول kwa wenye lugha yao. Pia hapo siyo MUBARAQA ni MUBARAK مبارك
ReplyDeleteShukran kwa kututakia kila jema, pia kwa nasaha zako zilizo njema na zenye mafundisho na manufaa ndani yake, Mwenyeez Mungu akujaaliye kila la kheri na INSHA ALLAH kwa barka zake سبحان وا تعالى tunamuomba atujaaliye tuumalize kwa salama na amani na kuyapata mafunguye yote matatu, pia kutujaaliya tufike na mwakani ili tuweze kuuona na mwingine ujao endapo tukiwa hai na wazima INSHA ALLAH. Kadhalika yote mema tuliyokuwa tukiyatenda katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, basi atujaaliye tusiyaachie hapa, bali tuyaendeleze na kuwa ndio mwenendo wa maisha yetu ya kila siku, isiwe mpaka ifike tena Ramadhan, hayo ni majaaliwa kwani hatujuwi la sasa hivi wala khalafu, ispokuwa tu ni kuwa tayari muda wowote na kutenda mema siku zote. Mwenyeez Mungu atuwezeshe juu ya hayo.
!عيد مبارك لكم جميعا ( EID MUBARAK KWA WOTE! )
AMIIN KWA DUA ZAKO, NA NAONGEZA KUMUOMBA ALIYETUUMBA SISI NA VIUMBE VYENGINE KUTUHAKIKISHIA TUNAPOKUFA TUNAINGIA KATIKA KHERI NA SI KWENDA MOTONI. NA TUMUOMBA AJAALIE AMANI NCHINI MWETU NA MAJIRANI ZETU NA ATUJAALIE KUWA WENYE KUFANYA UADILIFU, KUWA WENYE KUTENDA HAKI KWA KILA KIUMBE ALICHOKIUMBA. AMIIN
ReplyDeleteUnafaa na itakuwa bora kwenda kuishi, Makkah til-mukaraam, hupaswi kabisa kuishi ktk nchi ya kikafiri kama ya UK, Masha Allah, hapo kuna moto, kule kuna pepo, jiepushe dada yng kula hela za queen, kwani maombi ya kupata kipato chake kumejaa uongo na unafiki mtupu, hili tu ndy wasi wasi wng kuwa ramadhani itaondoka bila ya kutuachia chochote!
ReplyDeleteujumbe mzuri mashallah.
ReplyDeleteJama jama me ninavyomjua huyo mwandishi Ahlam NI DUME sasa ninyi wadau hapo juu kumwita mashallah umeolewa hii si ni zaidi ya hatari ndugu zanguni???tuwe tunauliza kabla ya kusema wandugu@@
ReplyDeleteAhlam ni jina la kike....Anonym wa Sat Aug 18, 07:06:00 AM 2012. Labda iwe proven otherwise.
ReplyDeleteTangu kuzaliwa kwangu mpaka umri huu niliokuwa nao, sijawahi kusikia 'MWANAUME' akiitwa AHLAM!
amiiiiiin!
ReplyDeletehahaha wa mwisho umefunguka.
dua nzuri.
mdau tujalie kujua we ni mw au ke? unachanganya wadau nikiwemo
we ANONY WA 06.00AM HUJUI KWAMBA AHLAM NI JINA LA KIKE, HOVYOOO MXYWWX KWENDA KULE
ReplyDeleteEwe Uhti/Sheikhat/Ustadhat/Hajjat awlaa, Mdau Ahlam wa LONDON-UK.
ReplyDeleteInshallah duw'aa Maqbool !!!