Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (katikati) akiwa katika Picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve Gannon (kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Wells iliyofanyika Kiwanda cha SBL mjini Moshi hivi karibuni.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wapili kushoto) akiwa katika Picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve Gannon (wapili kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells (kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL Teddy Mapunda wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Wells iliyofanyika Kiwanda cha SBL mjini Moshi hivi karibuni.
Mama Tundu Pinda akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL aliyemaliza muda wake, Richard Wells wakati wa tafrija ya kumuaga iliyofanyika kiwanda cha SBL mjini Moshi hivi karibuni.
Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mkurugenzi mpya wa SBL, Steven Gannon
Richard Wells (kushoto) akiwa akitika vazi la jadi la jamii ya Wamasai pamoja na Kisu jamii ya sime alilokabidhiwa na Wafanyakazi wa SBL mjini Moshi wakati walipomuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake na kumkaribisha Mkurugenzi Mpya Steven Gannon.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Bia Serengeti Mjini Moshi wakipiga picha na viongozi wao.Picha zaidi Bofya Hapa








Hivi mh Pinda na mama Pinda kunani kiwandani SBL kwani tangu kifunguliwe kumbukumbu zinanipa kuwa wamejihusisha sana hadi Mh Pinda akaahidi kulima mtama hiyo bond vipi.
ReplyDelete