Balozi wa Tanzania Nchi Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na Mumewe Bwn Shariff Maajar (kushoto) katika picha ya pamoja na  kiongozi wa Jumuiya ya kiislam DMV (TAMCO) Bwan Mganga Mhombelage kwenye sherehe za Eid zilizofanyia Hillandale na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao wanao toka majimbo ya jirani.
Kushoto ni Afisa Ubalozi Abbas Missana akiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandali (kati) na kiongozi wa Jumuiaya ya Kiislaam DMV (TAMCO), Seif Ameir.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar ( watatu toka kushoto) akiwa na Mumewe Bwan. Shariff Maajar (watatu toka kulia) wakati wa picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) wakati wa sherehe za Eid zailizofanyikia Hillandale Park Jumapili Aug 19, 2012 
Juu na chiani ni Mhe. Balozi akiwa na mumewe wakipiga picha ya pamoja na Watanzania walohudhulia katika sherehe za Eid zilizofanyika Jumapili Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Watoto wakifurahia Eid kwa kucheza kwenye Moonbounce
Watoto wakipata picha ya pamoja ndani ya Moonbounce.
Tenti lilitengenezwa maalum kwa sherehe za Eid

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. EID MUBARAK, BALOZI MAAJAR NA WATANZANIA WOTE. HAYA MAMBO KWA LONDON IMEKUWA HISTORIA NOWDAYS, 50 DIAMOND JUBILEE, DIASPORA NA HATA FUTARI IMESHINDIKANA, WATANZANIA HAWANA KIONGOZI.

    ULIJARIBU KWA NGUVU ZOTE KUWAUNGANISHA WATANZANIA UK, LAKINI YOTE WAZUNGU WANASEMA DEAD IN WATER.

    HONGERA KWA KAZI YAKO NZURI, MUNGU AKUZIDISHIE KWA KAZI YAKO.

    WATANZANIA UK, MPOOO....CHANGIENI MAADA TAFADHARI

    ReplyDelete
  2. waliohudhulia ni kiswahili cha pande gani jamani?

    ReplyDelete
  3. Safi sana. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu! Newyork vipi hakukuwa na sherehe za Iddi?

    ReplyDelete
  4. Newyork tulikuwa na sherehe ila si lazima kila kitu kurusha mtandaoni kwa wanaoona umuhimu wa kkuweka picha wanaweka sisi hatukuona ulazima huo

    ReplyDelete
  5. Mashallah Balozi,mzee kumbe bado kijana sana eenhe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...