Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu baada ya salaya Ijumaa kwenye msikiti wa Mtoro, mtaa wa Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa balozi Tuvako Manongi walipokutana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagana. Kulia ni Naibu Mwakilishi wakudumu wa Tanzania Katika Umoja huo Ramadhan Muombwa Mwinyi
Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na waislamu mbalimbali baada ya sala yaIjumaa huko msikiti wa Mtoro, mtaa wa Kariakoo jijini Dar es Salaam.Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...