Kama mjuavyo, Inshaallah Eid El Fitr itasherehekewa kati ya Jumamosi 18-08-2012 au
Jumapili 19-08-2012 kutegemea mwandamo
Ufuatao ni utaratibu wa Sherehe zetu hapa katika mji wa Leicester, Uingereza:
Inshaallah Sala ya Eid itasaliwa katika ukumbi wa Taylor Road School na kufuatiwa na Kifungua kinywa kwa utaratibu huu:
TAKBEER: Zitaanza Saa Mbili Kamili (8.00am)
SALA YA EID: Itasaliwa Saa Mbili na Nusu (8.30am)
PAHALA: Taylor Road School, Taylor Road, Leicester, LE1 2JP
KIFUNGUA KINYWA: Baada ya Sala Waumini watakwenda kupata kifungua kinywa
PAHALA: 1st Floor, Kocha House, Malabar Road, Leicester, LE1 2PD
MADRASATUL NOOR COMMUNITY yakutakieni nyote
EID MUBAARAK!!!
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi:
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...