Kutoka shoto ni mdau Moses Mwangende kutoka Dar es salaam Institute of Technology (DIT) kati ni Papaa Senator M.O.Makongoro, Minister Counselor wetu huko India, na mdau Renatus E.Kimbuya kutoka Wizara ya Ardhi ambao ni wafanyakazi kutoka Tanzania waliowasili India kula kitabu (CDAC) Hapa walitembelea ubalozi wetu nchini India kusalimia na kujitambulisha
Toka shoto ni Amel, Bi,Badriya, R.Kiondo ambaye ni msaidi wa balozi, mdau Renatus E.Kimbuya, mdau Edward Kimaro toka Wizara ya fedha) na mdau moses mwangende toka DIT
Toka shoto ni mdau Ame, Mdau Yahya Mhatani (finance attache wa ubalozi wetu wa india) ,Renatus E. Kimbuya, Sister staff reception, mdau Edward kimaro(Wizara ya fedha), na moses mwangende wa DIT
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...