Wakala wa Vipimo ni miongoni mwa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara. Majukumu makuu ya Wakala hii ni kumlikinda mlaji kwa kuhakikisha kuwa vipimo vyote vinavyotumika katika biashara na maeneo mengine ni sahihi.

Wananchi wakipata maelezo kuhusiana na matumizi ya aina mbalimbali za mizani zinazotumika katika biashara.


Baadhi ya waandishi wa habari wakiangalia kwa umakini namna ya kufanya uhakiki wa mawe ya  mfanyabiashara.


Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mr. Moses Ntungi akifanya mahojiano na vyombo vya habari juu ya umuhimu wa matumizi ya vipimo sahihi katika  Sekta ya Kilimo ikiwa ni njia mojawapo ya kumkomboa mkulima.

Bi. Tegemea  Mlay toka Wakala wa Vipimo akiwaelekeza wanafunzi namna ya kuzaja dodoso ikiwa ni njia mojawapo ya kukusanya maoni, mapendekezo na malalamiko toka kwa Wananchi ili kuboresha huduma za Wakala wa Vipimo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...