Tanzania lone ranger in EAC integration bid
Uganda’s Stephen Kiprotich celebrates after he won men’s marathon during the London 2012 Olympic Games . The last time Uganda had won a gold medal at the event was 40 years ago. Photo/AFP
Uganda’s Stephen Kiprotich celebrates after he won men’s marathon during the London 2012 Olympic Games . The last time Uganda had won a gold medal at the event was 40 years ago. Photo/AFP AFP
IN SUMMARY
  • Tanzania has been in the regional news for their stand against the other East African Community states, especially Kenya. They recently, increased the work permit fees for East Africans arguing that the bloc has not reached the integration level that would support free movement of labour.
  • Apart from making it expensive for other East Africans to work in Tanzania, the country has also been accused of reportedly lighting fires on the wildlife migratory corridors to prevent the wildebeest from migrating into Kenya.
  • Then there was the bus accident involving Kenyans who were travelling to Tanzania on a religious mission. It was reported that the public at scene of the accident demanded cash in order to help the victims.
  • For more CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Bad news and bad comments,HII TZ mbaya sana,wanaishi kama miaka 30 nyuma yetu,mtu anapata ajali hapana saidia inataka CASH,stupid Tanzanian.mijiandae tunakuja kuwatawala tu.Uganda tayari uchumi wao unategemea investment za Kenya.bado nyinyi watz subirini muwone cha moto

    ReplyDelete
  2. Hii kwa wadau wote kuanzia leo kama mlikua hamjui KENYA ni maadui wetu wakubwa sana kwa chochote kile si kitaifa mpaka kimataifa..tena tuwe makini sana na hawa watu ndio maana nyerere aliwabana ele mbaya baada ya wao kushikwa masikio na waingeleza ili wauvunje muungano wa EAST AFRICA...tujiulize wenyewe kwanza kwanini wanautaka huu muungano kwa udi na uvumba...1,wanataka aridhi yetu 2,wanataka kuingia tz wanavyotaka wao ili wazishike sehemu zote muhimu za nchi yetu..3,nakama ni kweli wanacholalamikia naipongeza sana sana serikali yetu na wazidi kuwabana hivyo hivyo......WANA NIGERIA NA WA GHANA+WAKONGO...Hawa wanaivamia nchi yetu kama nyuki siku hizi kupitia kwa MADADA ZETU nakama mjuavyo wadau wanapenda kuingia kichwa kichwa kumpapatikia mtu asiemjua ANGALIZO KWA SERIKALI NA MADADAZANGU WOTE...hawa watu hawana mapenzi ya ukweli kwenu mtaishiwa tu kuchezewa....NN SHABAHA YAO? URAIA WA TZ NA PASSPORT YA TZ KWISHA...NN KIFANYIKE ILI KUZIBITI HUU UOOZO...watanzania wote wanawake kwa wanaume tuilinde nchi yetu iwe salama...tuwafichue wageni wote watakaojaribu kujiandikisha na kujipatia kitamburisho cha TAIFA LAKO...Na kwenye katiba mpya ijayo kiwekwe kipengele cha kuzibiti wahamiaji halamu...ni mm yuleyule mdau wenu...TAJIRI LA MAWAZO ENDELEVU YA NCHI YETU..amani kwa wadau wote popote mlipo.

    ReplyDelete
  3. I am not surprised the author of the article is a Kenyan. There is nothing bad in Kenya and all bad things are in Tanzania. If some people did not help the victims of the accident do you think that is the Tanzanian Foreign policy? If some hooligans in Kenya do anything to a foreigner should we assume that is a kenyan policy? Think before you write. As you can see you have already started to beg for jobs in Tanzania, time will tell who is economically better off in EAC.

    ReplyDelete
  4. Dear Mr Ngahu,

    I am bit a surprised that you came up with such a poorly researched piece. It's this kind of sloppy attitude from Kenyans that makes Tanzanians think twice about the so called "regional integration". Dirty tricks to discredit and demonise brand Tanzania.

    Most of the allegations you have outlined are baseless, you could list twice as many issues Tanzanians have against Kenyans if you were fair enough.

    So much as poor or laid back Tanzanians are, they are peace loving, they have never killed each other like Kenyans did in 2008. Oh so you have forgotten already.

    I thought you would be talking about next year's elections, not whether Tanzanians admire Kenyans, in what sense?

    You have not mentioned a single good attribute of Tanzanians. For your information we don't entertain tribalism the same way you do there. Why should we bother welcoming you here while you have troubles in your own land? Actually you are drooling over our massive fertile land, that's all you are interested in - integration my foot?

    You talk about Kenya's economy being stronger that your neighbours, but who owns it? Is it Kenyans? I would rather be a poor Tanzanian than a middle class Kenyan.

    Are you are implying that Kenya is a nation of saints while all Tanzanians are monsters. You shouldn't generalise isolated incidents as being Tanzania's national policy against Kenyans?

    The accident issue, true or not could have happened in down town Nairoberry any time.

    Serengeti migration? That is an unscrupulous attack, do you know how many attractions Tanzania boasts against Kenya?

    To allow growth of fresh grass, our national parks regularly set alight patches of the savannah, you know you are lying by saying we deliberately attempted to block the migration.

    It's Kenyans who have always claimed Mt Kili is in Kenya, just to highlight the underhand tactics you have employed for many years?

    I would have expected a better piece from you, with this one, it's a miss! - try again. We shall only fast track the integration when it's on Tanzania's interests, not Kenyans.


    http://www.businessdailyafrica.com/Tanzania+lone+ranger+in+EAC+integration+bid/-/539444/1483494/-/view/printVersion/-/a3feoi/-/index.html

    ReplyDelete
  5. Makala kama hii ni upuuzi wa propaganga siziso na mashiko. Kimsingi Kenya itabaki kuwa koloni letu la kuwauzia maharage na mahindi. Hatutaruhusu upuuzi wao mwingine. Hawa ni manyang'au tu!

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli nashindwa hata kueleweza huyu mwenzetu mwandishi na hili gazeti kutoka kenya lina nia gani.

    Nadhani ni kweli kabisa tunahitaji kuwa waangalifu na hawa jamaa.

    ReplyDelete
  7. Asante Kaka Issa kwa hii taarifa!!

    Ukweli unauma!! Wakati mwingine najiuliza, watanzania ni watu wa namna gani?? Maji moto au maji baridi, au vuguvugu?? Kutoeleweka kati ya hizo sehemu tatu ni mbaya zaidi kuliko kitu chochote!!

    Ajali imetokea, afadhali hao waliombwa cash, sehemu nyingine waathirika wa ajali wanauliwa kunyanganywa walichonacho!!

    Na vyombo vya dola havijachulua hatua kumaliza tatizo hilo.

    Kwa upande wa ujirani na ushirikiano wa kiuchumi, tatizo ni kubwa mno kuliko inavyoweza kuelezeka kwa maneno. Tabia na mawazo ya kiumaskini inasababisha vitendo vya kujilimbikizia hata kwa kukwapua kuliko unovuhitaji kwa wakati huo, bila kujua unachokusanya bila kutoa huduma kwa mabadilishano, unakuwa umebeba bomu mfukoni litakolokulipukia wewe au hata hao utakaowarithisha!!

    WaTz na WanaAfrika kwa ujumla, tujitume kwa kutumia akili zetu, hali kwa hakika itatengamaa na kupunguza kugombea vitu vidogo vidogo vinavyotufanya tuonekana ni "sub-humans) mbele ya jamii nyingine!!

    ReplyDelete
  8. Kwendeni zenu...kuna watu wana roho mbaya kama watu wa Kenya????

    Niko Ulaya nasoma nao; hawasaidiani hata wakiwa na shida. They all run to us Tanzanians kwa kuwa tuna roho ya utu. Acheni unafiki...hawa watu lazima tuwabanie...labor mkt iko saturated huko kwao wanatolea udenda nchi yetu

    Kaeni kwenu...tuacheni na umasikini wetu lakini we love each other unlike you guys!!!

    Kama tuko nyuma ni nini mnataka toka kwetu?...why so much complaints??? Kaeni kwenu mnakodai kumeendelea.. Mnaogopa karibu tuna wa overtake eeeh.

    Uliwahi kumuona mmarekani analilia kukaa africa? What is it that you need from us ...if we are poor????

    Tena viongozi wetu waendelee kubana hivi hivi...hatuwataki.Yes EA community but with some limits.

    ReplyDelete
  9. AJITOKEZE MZALENDO AWACHANE HAWA WAKENYA.

    ReplyDelete
  10. ukweli unauma sio eeh? maana watz ni maneno mengi mkiambiwa ukweli mnakuja juu, mtajibeba maana mmezidi na siasa katika kila jambo hata la kuletea sifa nchi yetu ni siasa chafu tuu. majirani zetu msiache kutuponda hadi tubadilike. wala wakenya hawana roho mbaya ni kwa vile wanatupaka live live ndo mnaumwa na roho. hongereni sana wakenya kwa kupeperusha pendera yenu juuu sana kuleta meali 8 si mchezo, na nyie wapiga debe mbona hamkuleta hata medali ya mbao? michuu iache hii nzima nzima.
    usain bolt, jamaica

    ReplyDelete
  11. Hatuwataki, simple as such, kaeni na hayo mnayoyaita maendeleo yenu na sisi tubaki na umaskini wetu(sioni hata ni kipi mlichoendelea)....shirikisho shirikisho, wanaangaika nalo nchi za ulaya na bado linawashinda sembuse nchi changa kama sisi,we take precautions against you, we better commit on SADC integration kuliko na watu kama Kenya aisee

    ReplyDelete
  12. kweli wakenya sio watu wakuwakaribisha kabiisa hawana utu wanaroho mbaya wenyewe kwawenyewe hawapendani itakuwa watu wengine wa nchi nyingine wanatamani sana mali iliyoko tz hawa watu wakukaa nao mbali sana hawafai kabisa ndio maana nyerere aliwaita manyangau ni kweli nimanyangau

    ReplyDelete
  13. Mimi nimeipongeza Mamlaka na Serikali yetu Kuongeza Ada ya Vibali vya kazi na Mashariti wa Wafanyakazi wageni nchini.

    Licha ya sisi kufanya vibaya ktk michezo hoja ni Misimamo wetu kwenye masuala yetu ya ndani.

    Wakenya wasifikiri sisi ni wajinga, wanatuletea ile siasa ya 'changu cha kwangu na cha kwako pia changu' hatukubali.

    Hawa jamaa ni ndugu wanafiki na marafiki wa mashaka kabisa, kila uchao wanatushusha sana na kutudharau.

    Mfano:-1
    Mwaka jana Tanzania ilishinda ktk Masoko ya Hisa 'WORLD FINANCE AWARD- ON THE MOST SUSTAINABLE STOCK EXCHANGE IN AFRICA' licha ya wao kuwa na soko lilolo imarika sana kwa shughuli za Hisa lakini tiliwagaragaza vikali.

    Mfano:-2
    Hii mada imeonyesha Raia wa Uganda Steven Kiprotich akiwa ameshinda, ilitakiwa wao Kenya wanaojifanya wana timu nzuri ya Riadha waongelee kushindwa kwao na Mganda na sio kuzungumzia kuhusu Tanzania na mambo yaliyo nje Michezo kama Uhamiaji ,Ada za vibali na Sheria za kazi kwa wageni wakiwa Tanzania.

    Hawa wakenya ni watu wa Majungu sana na propaganda kama mnavyoona hapo juu, na ndio maana pamoja na kujifanya wana ujanja wao walichinjana kwenye vurugu baada ya Uchaguzi mwaka 2007-2008.

    Pana mambo mengi sana wanatuhujumu lakini kwa kuwa Mungu yupo na Bongo-Tanzania ni mbuyu wa rasilimali watashindwa daima.

    Kamwe hawatatuweza kwa kuwa mbinu kubwa ktk maisha ni kumtambua adui na ukawa unajipanga jinsi ya kukabiliana naye!!!!

    ReplyDelete
  14. MUNGIKI TU HAO HAWANA LOLOTE.
    KWANI VIBAKA HUKO KENYA HAWAPO?
    MBONA WAMEJAA SANA NAIROBI, KIBERA, NA IKITOKEA AJALI WANAIBA SANA MALI ZA MAJERUHI

    ReplyDelete
  15. AFROBAINI YA NDUGU ZETU AFRIKA YA MASHARIKI NA MAJIRANI ZETU WENGINE:

    40 imeshafika kama mnavyoona madini kibao tunayo sasa:

    -Gas
    -Oil
    -Uranium
    -Gold
    -Steel
    -Nickel

    Tena mali tiliyonayo sisi ni COMMERCIAL au VIABLE FOR ECONOMIC ACTIVITIES hivyo lazima tutawapota kiuchumi muda si mrefu.

    Wao walitangulia lakini waelewe ya kuwa sisi tumejaaliwa zaidi.

    Angalieni kutapa tapa kwa ndugu zetu jirani kama Malawi anavyoona tunazidi kuwa na mali analeta madai ya kutaka Ziwa Nyasa lote liwe la kwao!

    Licha ya wao kututolea mimacho hivi sasa Dunia nzima America, China na Europe zina ikodolea macho Tanzania na zinashindana na kutuma fedha kuwekeza katika mkitaji na gas na mafuta na uwekezaji mwingine.

    Watake wasitake nyota yetu imeng'ara tutawashinda tu!

    ReplyDelete
  16. Well, I am not surprised that its a Kenyan who wrote this.
    1. President Mwai Baki sending in military army to air lift Kenyans from Tanzania? How is that possible without the authorization from Tanzania? This to others could have be seen as an attach and a threat to Tanzania. You just do not send in your military anywhere you want!

    2. Setting fire to Serengeti? For your information that is called, Early burning. Go ahead and 'google' it if you want. It has taken place so many times over the years. And ask your newspaper for the REAL report they were supposed to put on that paper. Beisdes the wilderbeest is in Kenya for just two months, and Tanzania for 10. Why would we keep them away? If you want the full report about why the fire was set, the migration calender for the wilderbeest. Do feel free to contact TTB. They will give you everything you need.

    I have spent time with Kenyans and one thing i learnt from them is that once they help you, you OWE THEM FOR LIFE! But when you help them, you just forget about it. I have been to school with Kenyans and to my surprise they did not even get along with each other.

    And it is this that Kenyans hate and are trying to destroy the image of Tanzania to the world.
    Next time that you want to write an article, please do make sure you carry out thorough research, get REAL and TRUE INFORMATION!

    ReplyDelete
  17. Nafarijika kuona wenzangu pia mna mawazo chanya kama yangu kuhusu nchi yetu. Ninatamani Wizara ya Mambo ya Nje ingekemea chapisho hili ili upuuzi kama huu wa kuibeza nchi yetu usifanyike hovyo. Kama kuna mdau wa Wizara tafadhali chukua hatua stahili haraka iwezekanavyo.

    ReplyDelete
  18. Hawa ndugu zetu, majirani zetu wa Kenya wanamatatizo sana.

    Kiukweli kila kitu kina faida zake na hasara zake.

    Kupitia kwetu katika Siasa ya Ujamaa na kujitegemea kumetuletea faida na hasara.

    Kama tasnia ya Uchumi ilivyo una 'sacrifice costs'.

    Sasa ktk HASARA tulizopata ndio hizo faida wanayo wenzetu wa Kenya ambayo ni uwezo wa kiujasiriamali na FAIDA tuliyonayo ya Umoja, Ubinaadamu na Upendo ndio hiyo Kenya hawana huku wakiwa wabinafsi kupita kiasi!

    ReplyDelete
  19. Kenyans should be sharpening their pangas in readiness for their general election. I must admit that our neighbours are very good at killing one another as we saw after their 2007 elections. Who is better? A person who demands money to assist an accident victim or one who picks up a machete and slashes his neighbour to death just because he belongs to a different ethnic group?

    ReplyDelete
  20. The survivors of the accident fed the Kenyan press a lot of lies, which the media (including the respected Daily Nation) published without bothering to establish the facts with the Tanzanian authorities. Even reports of the accident are full of inaccuracies. For example, the Kenyan media maintains that the accident occurred in Tanga, but the fact is that the crash took place in Coast Region, about 200 kilometres from Tanga. This demonisation of Tanzanians won’t do. There is nothing wrong with Tanzanians being cautious, especially when dealing with Kenyans, who were rightly described some years back as a man-eat-man society.

    Mdau,
    Dar es Salaam

    ReplyDelete
  21. Hawa Kenya katika mashindano ya kiufanisi na sisi Tanzania pana baadhi ya Mabosi wa Ki Tanzania wanawakosesha usingizi ma Bosi wa Kenya:-

    1.Gabriel D.Y Kitua:-
    Mtendaji Mkuu wa Masoko ya Hisa Dar DSE: Amewaweka ktk kipindi kigumu ktk mzunguko wa bishara wa masoko huku minority trading ya Wawekezaji wa nje (Off Shore Investors) wakitirika tk Soko la Dar DSE huku Soko la Hisa la Nairobi NSE likidorora Masoko mengine Africa, na kuimarisha mzunguko ktk DSE hadi mwaka jana 2011 DSE ikashinda kwa umahiri kwa kupata tuzo ya Soko Bora la Hisa Afrika nzima.

    2.Gavana wa BOT Prof.Benno Ndulu:-
    Uwepo wa Ofisi ya IMF (Shirika la Fedha la Kimataifa) ya kanda nzima ya Afrika ya Mashariki na Kati ktk majengo ya BOT unawakosehsa usingizi zaidi wa Kenya kuliko wa Afrika wengine wote.

    Ufanisi wa kupambana na Ukata 'Inflation' Tanzania inakwenda kasi pia kwa kufikia July rate ni 15.7% kutokea 19.8% kwa January 2012, wakati Kenya ilikuwa 17.3% January 2012 na sasa July 2012 ni 10.1% lakini pamoja na wao kuwa vizuri lakini hawapati usingizi kabisa na performance yetu.

    Ni wazi kuwa wao wanaweza kushindwa kutikia single digiti yaani (chini ya 10%) lakini sisi tukaweza pamoja na wao kubakisha 1% tu !!!

    3.Dr.Ramadhani K. Dau:-Mkuu wa Mfuko wa NSSF-Tanzania. amewezesha mpango wa uwe3kezaji wa kujenga jengo refu zaidi ghorofa 50 Afrika ya Mashariki na kati kuwepo jijini Nairobi huku uwekezaji huo ukiwa na tija zaidi kwa Tanzania tofauti na wao Kenya kuwa na tija kama wangewekeza kujenga Tanzania.

    4.Dr.Julie Makani:-Dakitari Bingwa wa Kansa na athari za damu za kuzaliwa sickle cell, amepata Shahada ya juu kabisa ya Utabibu ya Kifalme huko Uingereza huku akiwa anaendesha Utafiti wa ugonjwa huo huku Tanzania ktk Hospitali ya Muhimbili, Makani anawakosesha usingizi Madakitari wengi wanaojifanya much know wa Kenya.

    5.Yona Kilagane:-Mtendaji Mkuu wa TPDC -Shirika la Maendeleo ya Petroli anawaweka pabaya wa Kenya na Uganda kwa kufanikisha mchakato wa kuhamisha mitaji baina ya Tullow Plc. iliyofanikisha kupata mafuta Uganda na Kenya kuhamishia mitaji ktk Miradi ya gas ya Tanzania na kuacha kuwekeza ktk mafuta Kenya na Uganda kwa kuuza hisa kwa BG Plc./ Ophir Energy Plc. na Exxonmobile huku China na CIOONC ikiwa sambamba na kinyang'anyiro hicho cha deal.

    6.Ludovick Utouh:-Mkaguzi wa Mahesabu ya Umma wa Tanzania ambaye sasa ndiyo Mkuu wa Mahesabu nchi za Madola na pia UN-Umoja wa Mataifa Makao Makuu.

    7.Prof. Anna Tibaijuka:-alikuwepo Nairobi Kenya kikazi akiwa ktk Shiurika la Makazi la Umoja wa Mataifa,UNHABITAT aliwanyima usingizi wa Kenya wakafanya majungu mengi akamaliza muda wake akaondoka, lakini sasa anawaweka pabaya Kenya kwa suala la Haki miliki za Ardhi na kuifanya iwe chini ya wa Tanzania kama rasilimali ya dhamana (Land Equity)kuondoa Umasikini badala ya kuwanufaisha wageni wakiwemo majirani wa Kenya wanaiitolea udenda ardhi ya Tanzania.

    Hiyo juu ni mifano (7) ya wana wa Tanzania wanaowatoa kamasi majirani wetu wengi pamoja na wa Kenya na kuwakosesha usingizi.

    ReplyDelete
  22. Kenya katika Makala hiyo na picha ilitakiwa ijadili jinsi Mganda Steven Kiproitich alivyowashinda wana riadha wa Kenya wanaojulikana kuwa wao ni mahiri zaidi ktk mbio Duniani badala ya kupindisha Makala na kuizungumzia Tanzania tena katika medani nyingine kabisa nje ya michezo!!!

    ReplyDelete
  23. HIZI NI HABARI ZA KIDAKU ZA HALI YA CHINI KABISA. HAZINA HATA TAALUMA YA KIUNADISHI!! POLE KENYANS

    ReplyDelete
  24. These guys should end the tribalism that is consuming them before pointing fingers at other people. They should not be too obsessed with Tanzania. They have plenty on their plate already.

    ReplyDelete
  25. NDUGU ZANGU WATZ NA WAAFRIKA KWA UJUMLA, MMEINGIA KWENYE MTEGU ALIOUTEGA YULE ALIYECHORA MISTARI MNAYOITA MIPAKA!!

    MTAKUA LINI?? AMKENI JAMANI! HAYA NI YALE MAMBO YA UTOTONI KUWAFUKUZA WATOTO WENZAKO WASICHEZEE NYUMBANI SIKU LINAPOPIKWA 'BECHE"!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...