Muandaaji wa Tupo Zusammen Festival, Bwana Erick Morro akitoa maelezo juu ya Tanzania.
Wajerumani wakipewa somo katika warsha ya ngoma za asili ya Tanzania.
Kaka Arba kutoka Tanzania akichalanga ngoma ya mdundiko huku watu wakijiachia kwa raha zao
Wajerumani wakisakata ngoma za asili za Tanzania.
Kaka na Dada wa kitanzania wakionyesha nguo za utamaduni wa kitanzania katika Fashion show.







Nasikitika kwamba sikupata taarifa juu ya mambo mazuri kama haya ingawa niko mji jirani na NUREMBERG, naomba tuwasiliane ndugu zangu Watanzania mliopo hapo NUREMBERG ili tufaahamiane zaidi.
ReplyDelete+4917635375622
Nwasilisha. Mungu Ibariki Tanzania