Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012 kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi uliopita.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ikulu ya Zanzibar Agosti 3,2012 kutoa pole kufatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...