Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto) akimkabidhi jezi mchezaji mpya aliyesajiliwa na timu hiyo kutoka Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu wakati wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari, Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam leo. Picha na Francis Dande.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Karibu mwana, chapa ilale!

    ReplyDelete
  2. Yanga andika majina ya wachezaji kwenye jezi,mbona mnatu-let down?Didier goli 2 ulizotuwasha zimekupa ulaji..'Unyegele neza',Amahoro...duh

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...