Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Brain ni hazina kubwa, uende shule usiende itajitokeza tu

    ReplyDelete
  2. Zembwela ni noma...ana akili kubwa sana. Ni hazina kubwa

    ReplyDelete
  3. napenda anavyojua haki yake kama raia wa Tz nashukuru kwakuwashikisha adabu hao makonda.Safi sana Zembwela

    ReplyDelete
  4. konda hana kosa. Kamtransfer kwenye gari jingine bila malipo, tabu iko wapi? Kila mtu ana haki, angemuacha hapo bila usafiri sawa.Hata nchi za kwanza mambo hayo yapo kwenye mabasi na train na hata ndege

    ReplyDelete
  5. Vijana mnajitahidi lakini naomba muwende kupata elimi kidogo jinsi ya kuunda na kuongoza vipindi kama hivi jambo la kwanza maswali yote lazima yawe yamefanjwa utafiti na sio kumkatiza muuliza na kumpa swali lingine tofauti na la kwanza..

    ReplyDelete
  6. zembwela nimejufagiliaje!! mimi ni mwanaharakati wa haki za binadamu naona wewe ungefaa sana kwenye field yangu. your right will never be violated kwa mtaji huo!

    ReplyDelete
  7. Mdau uliosema Hakuna tabu kutransfer watu kwenye magari sababu ya Magari au train huko nje wanafanya pia nazani hukuelewa huyu JAMAA alivyoongea tatizo lipo sababu Gari(BUS) alilopanda halikuwa na tatizo lolote ni njaa zao za kuona watu wachache wameona wageuze kuwahi wengi ndio tatizo limekuja hapo ingekuwa Bus bovu sawa. MZ

    ReplyDelete
  8. Anon. no 4. nakubaliana na maoni yako, kwani sio lazima Bus/Daladala kuwa na tatizo ndio hayo yafanyike, pengine zilikuwa ni mojawapo ya taratibu zao walizojiwekea, ukizingatia pamekuwa na makubaliano kati ya madereva hao wawili ya kuwahamishia abiria wao toka kwenye Daladala moja na kuingia nyingine na safari ikaendelea hadi kwenye destination zao, nothing wrong. Kwani hata huko kwa wenzetu huwa yanafanyika mambo kama hayo na sio lazima kuwe na khitilafu katika chombo cha usafiri, sometimes unaweza kukuta pengine ma-bus ya destination moja yameongozana mawili mawili au matatu at the same time, hivyo ili ku-katch up with the time required kwenye route zao, utaratibu mithili hiyo unfanyika na wakati mwingine bus mojawapo pia linaweza kusimama for sometimes katika stop mojawapo na dereva akawafahamisha kasimama hapo ili ku-regulate service. Sasa hilo la kutaka apelekwe peke yake halikuwa la lazima endapo utaratibu huo ulikuwa umefahamika kwa abiria wote waliokuwa kwenye Daladala hiyo, vinginevyo ni mtu kuwa king'ang'anizi tu au kutaka kuonyesha ubabe wake, angeliachwa hapo bila usafiri wowote wa kumfikisha alipokuwa anakwenda, hiyo ingekuwa khabari nyingine, lakini kulikuwa na alternative ya kufikishwa safari yake, why was so fussy about that?!

    ReplyDelete
  9. Hapo ndio watanzania mnaponichoshaga, Zembwela kauliza mbona mnatuhamisha wakati tiketi imesema mnaenda point A hadi B, konda akamjibu utumbo hakumuelezea vizuri sababu, unadhani angemueleza vizuri angekataa kushuka? Sasa watu mmekazana ubabe ubabe ndio maana tunawahukumu watu hata kesi haijaisha, hebu tuwe tunatafakari na kufikiri kabla ya kutoa lawama tujiangalie sisi kwanza hata hivyo kama wangekuwa hawajakosea kwanini walimpeleka? au wasimpeleke polisi kwa kuleta vurugu? Tubadilike jamani!!!

    ReplyDelete
  10. Uwezo wa Zembwela kifikra ni mkubwa kupita kiasi. Watanzania wabishi msiojua kusikiliza wala kuelewa mnabisha, mara ngapi tunatetea ujinga wakati vilio vya daladala ni kia siku. Alichokifanya Zembwela ni sawa kabisa kwani haya ndio yanayoleta usumbufu. Kama ticket imeandikwa Mwenge Posta na akalipa nauli halali, inakuwaje kufaulishana bila utaratibu, wafikirie pia kina mama wenye watoto na mizigo, sio wewe unaetembea simu mbili zisizokuwa na tija. Ufaulishwaji wa airport unaeleweka tangu unakata ticket. Tufuate utaratibu, hivi hivi mnachagua viongozi wenye kujua kutabasamu badala ya wenye uwezo wa kufikiri kwa mapana kama Zembwela na nchi inaendelea kuporomoka. Zembwela your Special!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...