Ndugu, Jamaa na marafiki wa Marehemu Franco Kabigi Jumapili Septemba 9, 2012 walikusanyika Octar's Pub karibu na Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es salaam na kumkumbuka rafiki yao aliyewato siku 40 zilizopita. Zifuatazo ni taswira za siku hiyo ambapo baada ya sala waliohudhuria waliopata chakula cha mchana na kisha kuangalia mkanda wa video ya mazishi ya Hayati Franco. Video inaandaliwa na kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Arobaini ya Marehemu Franco Kabigi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...