Mhe. Spika akimsalimia msemaji wa familia Ndg. Boniface Lissu. katikati ni Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Tundu Lissu 
  Spika wa Bunge akisaini kitabu cha maombolezo katika msiba wa baba yake Mhe. Tundu Lissu Mzee Agustinio Lissu Mughwai alipofika kuhani msiba huo Tegeta Dar es salaam
 Mhe. Spika akimfariji mbunge wa Viti maalum Chadema Mhe. Christina Lissu ambaye pia ni dada yake na Mhe. Tundu Lissu alipowatembelea kuhani msiba wa baba yao Tegeta, Dar es Salaam
Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Tundu Lissu akiteta jambo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kuhani msiba wa baba yake Mhe. Lissu Mzee Agustinio Lissu Mughwai Tegeta Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kumbe tindu lissu na dada yake wote ni wabunge wa cdm?duh ina maana hizi kejeli za ccm kuwa chama cha kifamilia ni siasa za majitaka?mh tindu lissu cdm mbona mnafanya yale yale duuh..

    ReplyDelete
  2. Mbona Bush na baba yake walikuwa Maraisi? Nani alilalamika? Acha wivu wewe anon wa kwanza!

    ReplyDelete
  3. wewe anony hapo juu tumia hakili kumbuka lissu ni mbunge aliyechaguliwa na wananchi wake singida na sii vinginenyo na huyo dada yake ni viti maalum kapewa na Jk sasa unachoshanga hapo kipo wapi wangekuwa mawaziri kweli tungesema lakini wabunge?wamepiga domo huko wakapendwa na wananchiiiii,kwa sera zao siioni ubaya wowote mimi.

    ReplyDelete
  4. Jamani, hapa sio mahali pake kwa malumbano ya kisiasa. Tuungane na familia ya Lissu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba yao kwa kuwafariji. Tukipanga safu za wanasiasa ndugu hapa hakuna chama kitachosalia!

    ReplyDelete
  5. Chadema ni kikundi cha kifamilia na hawana sera mpya zaidi ya majungu na kupendelea kindugu,,,,,,,Mdau wa hapahap

    ReplyDelete
  6. ngoja imsahihishe vitu maalum wanawake chandema na hakupewa na JK tafadhali usituchanganyie habari kama huji uliza.

    ReplyDelete
  7. Wanasiasa lao moja familia wote wabunge hakuna cha kupiga dome.Na viti maalumu kateuliwa kwenye chama chao na sio jk hujui ulichokiongea.

    ReplyDelete
  8. Hata mimi nimeanza kuwa na mashaka na CDM. Ni mule mule. Kwani tunajua michakato ya viti maalumu ina rushwa kuliko mchakato wa mjimbo. Tanzania we have a long way to go. Hatuna vyama.

    ReplyDelete
  9. poleni kina Lissu ila wewe anyn wa kwanza madai yako hayana maana mbona vita kina kawawa wako wawili bungeni husemi? kina mwinyi je? si kwamba tundu lissu peke yake ndo alimteua dada yake ni chama kilifanya hayo maamuzi baada ya kuona anafaa na kumbuka kuwa tundu alichaguliwa na wananchi, hakuteuliwa

    ReplyDelete
  10. Pole sana Mpiganaji Lisu, Mungu akupe nguvu za kuhimili msiba.

    ReplyDelete
  11. Nini Tundu Lisu....
    1.Ndesamburo...Mwanae wa Kwanza
    2.Lucy Ndesamburo Owenya....Mkwe wake 3.Grace Sindato Kiwelu ni mke wa mtoto wa Ndesamburo wa pili...pamoja pia na Jirani yake
    4.Suzan Lyimo...na ambaye wamesoma na mwanae Lucy na kucheza pamoja....sasa mnasngaa nini Tundu Lisu...!

    ReplyDelete
  12. Poleni sana kaka zangu Tundu na Vincent. Bwana Yesu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...