Mwanamuziki wa Bongo Flava a.k.a. Malikia wa Zouk Hafsa Kazinja alonga na Vijimambo azungumzia muziki wa Bongo Flava unakoelekea na nini kifanywe ili kukuza muziki huo MSIKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MBALI NA CHANGAMOTO ZA WIZI WA KAZI YA SANAA, WANAMUZUKI WA TANZANIA MMEJIANDAAJE KUKABILIANA NA UKUAJI WA TEKNOLOJIA AMBAO UKIACHA 3D, 1080P NA GESTURE CONTROLLING SYSTEM, TV YA LEO INA WI-FI SYSTEM YENYE VOICE CONTROL INTERNET. YAANAI UKISEMA "PRESSERE HAFSA KAZINJA" TV INAKUPELEKA U-TUBE DIRECT NA KUTAZAMA VIDEO YAKO. HII INAMAANA KUA DVD ZIMESHAPITWA NA WAKATI. MMEJIANDAAJE KUKABILIANA NA TEKNOLOJIA HIYO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...