Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bw. Saidi Meck Sadiki akiongea na na wajumbe wa kamati ya maafa ya mkoa wa Dar es salaam waliokutana leo jijini Dar es salaam kujadili namna ya kukabiliana na majanga mbalimbali yanayoweza kutokea na kusababisha maafa katika jiji la Dar es salaam.
Mkuu
wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema (kushoto) na mkuu wa wilaya ya
Kinondoni Bw. Jordan Lugimbana wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa
zikiwasilishwa kuhusu namna ya kukabiliana na maafa katika jiji la Dar
es salaam leo wakati kamati ya maafa ya mkoa wa Dar es salaam
ilipokutana.
Wajumbe wa kamati ya Maafa ya mkoa wa Dar es salaam wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa kikao hicho jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...