MZEE JOSEPH MSABAHA KIAMA
Jana tarehe 23 Septemba 2012, ni miaka kumi (10) tangu Mzee Joseph Msabaha
Kiama ulipotutoka ghafla katika dunia hii katika ajali mbaya ya gari.
Umeacha pengo lisilozibika, tunakumbuka sana upendo, fadhila na ukarimu wako.
Unakumbukwa daima na mkeo mpendwa Mama Beatrice Kiama wa Mbezi Temboni, Wanao, Wajukuu, Wakwe na Wakawana, Ukoo mzima wa Kiama na Mondomeo, Ndugu, jamaa na marafiki.
Tunazidi kukuombea kila siku kwa Mwenyezi Mungu ili akumpuzishe kwa amani.
Raha ya Milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani, Amen.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...