Hayati Mzee Paschal Sephania Mng'anya |
Baba yetu mpendwa leo unatimiza miaka 2 tangu hapo ulipotutoka september 2010.unakumbukwa
sana na mke wako Catherine,watoto zako Michael, Dismas, Rachel, Deodat, Petro, Minja, Herman! na wajukuu
zako Jane,Agnes, Junior na Paschal pamoja na ndugu,jamaa na marafiki.
Daima utakumbukwa kwa busara zako,ucheshi na mafunzo mengi uliyokuwa unatueleza.tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaid. Mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani Baba yetu Mzee Paschal Sephania Mng'anya
Ameeen.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...