Kwa wale wadau wakeleketwa wa Music ya kizazi kipya Bongo Flavaz Oldskools & New skools. 
Watanzania waliopo nchini Oslo Norway kwa masomo ya Krinsjå na Oslo Univesity.
Walipenda sana tuwe tunawapa Taharifa na Tangazo mara kwa mara ya weekend. 
       Sasa tunawaletea Buzzuki Night Party @ Buffalo Brugata 1 Oslo Norway. 
          
Jumamosi  22-Sept kl.21-03:30 dress cord Fresh
                   Kiingilio ni 50 kr. tu sms au call me-
                    96872483 Dj Pred a.k.a Abdul Mpily
                              Karibuni sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...