Mshambuliaji Amour Omar wa Bandari (kushoto) akijaribu kumpita Makame Haji wa KMKM katika pambano lao la ligi kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar. Bandari ilishinda mabao 2 - 1.
 Mshambuliaji wa KMKM, Kasim Nemshi (kushoto) akiwatoka walinzi wa Bandari.


Mshambuliaji wa KMKM (kushoto)   akipiga mkwaju kuelekea lango la Bandari 
Picha zote na Martin Kabemba wa Globu ya Jamii, Zenji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...