Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akiwa kwenye mkutano na viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Watanzania DMV kama sehemu ya maandalizi ya Siku ya Mtanzania tarehe 15 Septemba 2012.Kwa kupitia viongozi hao, Mhe. Balozi anaomba Watanzania wote kujitokeza kwa wingi na kuleta wageni (wamarekani) ili kuitangaza Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...