Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora(APRM) Tawi la Tanzania Rehema Twalib(kulia)akiongea na waandishi wa habari jana mjini Dar es salaam kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza leo tarehe 25 septemba 2012 mjini Dar es salam.Katikati ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu Dr.Rachel Mukamunana na kushoto Afisa anayeshughulikia masuala ya APRM na NEPAD kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNDP Zemenay Lakew.Picha na Veronica Kazimoto-MAELEZO- Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...