Martha Mazura (11), mshindi wa shindano la national Book Festival akipiga picha ya pamoja na baba yake mzazi, Bw. Amos M. Cherehani baada ya kupokea tuzo  la uandishi bora wa insha lilioandaliwa na the Library of Congress, jijini Washington DC nchini Marekani  Jumapili, September 23, 2012 ambapo kati ya washiriki zaidi ya 200, ni washiriki 19 tu ndiyo walioshinda shindano hilo akiwemo Martha ambaye ni Mtanzania pekee kwa mwaka huu kushinda tuzo hilo.
 Martha Mazura, Mtanzania aliyeshiriki shindano La uandishi wa insha lilioandaliwa na Library of Congress liitwayo ‘National Book Festival 2012” na kutunukiwa cheti pamoja na zawadi nyingine akipiga picha ya pamoja na waandaaji wa shindano hilo Jumapili, September 23, 2012.  Martha ni mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya St. Anthony Catholic School mjini Washington DC.
Martha Mazura akifurahia ushindi wake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa


  1. kichwa hicho,, very good mtoto ungekua bongo usingepata hayo yoote
    bora ubaki huko huko kwa faida yako mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Congratulations Martha!

    ReplyDelete
  3. NICE TO SEE!

    AT 11 REPRESENTING THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA?

    Good work Martha keep it!!!

    ReplyDelete
  4. Hongera Hongera Martha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...