JKT Ruvu 0-2 Simba SC
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga SC
African Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons 1-1 Coastal Union
Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto Africans 2-2 Azam FC
Mtibwa Sugar 3-0 Yanga SC
African Lyon 1-0 Polisi Moro
Ruvu Shooting 2-1 Mgambo JKT
Prisons 1-1 Coastal Union
Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
Toto Africans 2-2 Azam FC

Simba ambao walicheza mchezo kwa dakika nyingi baada ya mshambuliaji wao tegemeo Emmanuel Okwi kutolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza cha mchezo, walipata mabao yao kutoka kwa kiungo Amri Kiemba aliyefunga bao la kwanza na Haruna Moshi Boban aliyepiga kidude cha pili. (picha: ShaffihDauda.com) Simba SC leo iliundwea na: Juma Kaseja, Nassor Masoud ‘Chollo’, Amir Maftah, Shomary Kapombe, Juma Nyosso, Mwinyi Kazimoto, Amri Kiemba, Haruna Moshi ‘Boban’, Daniel Akuffo, Mrisho Ngassa na Emanuel Okwi. (Maelezo: BongoStaz blog)
MECHI ZIJAZO:
Septemba 22, 2012
Yanga SC Vs JKT Ruvu (Taifa, Dar es Salaam)
Azam FC Vs Mtibwa Sugar (Chamazi, Dar es Salaam)
JKT Oljoro Vs Polisi Morogoro (Amri Abeid, Arusha)
Coastal Union Vs Toto Africans (Mkwakwani, Tanga)
Septemba 23, 2012
Mgambo JKT Vs Kagera Sugar (Mkwakwani, Tanga)
Simba SC Vs Ruvu Shooting (Taifa, Dar es Salaam)
African Lyon Vs Prisons (Chamazi, Dar es Salaam)
source: BongoStaz blog (bofya kusoma na kutizama picha zaidi)




Kudadadadadaki!Yanga hureeeeeeeeee!
ReplyDeleteKizuri zaidi mabao yote hayo yalipitia upande wa KIBONDE Twite! hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kudadadadaki TWITE!
Naam Yutong za nguvu haswa!
ReplyDeleteMagari na matokeo ya jana wapi na wapi ? Hongera TBl kwa kudonate mabasi.sijui kama viongozi wa hizi timu watajifunza chochote hapa.Ombi langu tu hasa wazee wa msimbazi.chonde chonde tusilione basi hili likipiga tripu za Mbagala - Ikwiriri ..mtaua
ReplyDeleteAnkal hii itakuwa ni hujuma (tena nahisi ya kisiasa) anafanyiwa mwenyekiti wetu Yusuf Manji...haiwezekali ankal usajili tufanye wa nguvu halafu mambo yawe hivi...tafadhal ankal muweke hadharani huyo anayemhujumu mwenyekti wetu hapa..au kama utashindwa nipe nafasi nimuweke hadharani ili ajue wanayanga tunamfahamu fika anachotufanyia...mdau sweden
ReplyDeleteIna maana hayo mabus yametolewa kwa Simba na Yanga tu, klabu nyingine nazo vp? Ndo maana soka letu halikui kwa kupendelea hao vibonde wawili.
ReplyDelete