Mbunge wa Viti maalum Amina Mwidau (CUF), akimkabidhi kadi aliyekuwa kada wa CCM wilaya la Muheza Hamis Mgosi, jana Mjini Muheza, wengine ni wajumbe wa kamati ya Utendaji wa CUF wilaya ya Muheza, ambao walishuhudia tukio hilo.
 Mbunge wa Viti maalum Amina Mwidau (CUF), akimkabidhi mabati kumi yenye thamani ya Sh 170,000 ambayo alikabidhi kwa kikundi cha wajasiriamali wa gongagonga, kwa Diwani wa Mwanzange Rashid Jumbe (CUF), wengine wanashudia ni wajasiriamali wa kikundi hicho.
 Mbunge wa Viti maalum Amina Mwidau (CUF), akionyeshwa kazi zinazofanywa na kikundi cha wajasiriamali cha gongagonga na Diwani wa Mwanzange Rashid Jumbe (CUF) leo jiji Tanga.

Mbunge wa Viti maalum Amina Mwidau (CUF), akimkabidhi mpira wa pete kiongozi wa timu ya Netball ya Mwanzange Girls Mkunde Ramadhani, wengine wanaoshudia ni Diwani wa Ngamiani Kati Habib Mpa (CUF) mwenye kofia na shati la mistari , pamoja na wanakikundi cha gongagonga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...