Picha ya pamoja ya wajumbe wa Jumuiya ya Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki katika Makao makuu iliyoteuliwa leo Eacrotanal Mjini Zanzibar.
Kamishna wa Utamaduni Zanzibar Hamad Bakar Mshindo (kulia) akitoa maelezo ya Jengo hilo ambalo ndio Makao makuu ya Jumuiya ya Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari,Vijana na Utamaduni Tanzania Profesa Hermas Mwansoko akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Jumuiya Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...