Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigit Alfred akiwapungia mkono mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni mshindi wa pili Diana George Hussein na mshindi watatu Irene David.
 Warembo walioshiriki shindano hilo wakiwa kwenye vazi la ufukweni mbele ya majaji na mashabiki wa shindano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam usiku wa jana.
 Hii sio kiduku ni midundo ya kihindi mshiriki wa shindano hilo Brigit Alfred, akionyesha uwezo wake kwenye kucheza na kuibuka kidedea kwenye kipaji lakini pia aliibuka kidedea kwenye shindano hilo na kuwa Miss Kinondoni 2012.
 Mshindi tatu kwenye shindano hilo Irene David akiwa kwenye vazi la jioni.
Hawa ndio washiriki waliofika tano bora kutoka kushoto ni, Judith Sangu, Brigit Alfred, Diana George Hussein, Irene David na Kudra Lupatu.
 Mshindi wa shindano hilo Brigit Alfred akipunga mkono mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.
Mshindi wapili kwenye Shindano hilo Diana George Hussein akiwa kwenye vazi la jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. WAMEPENDEZA ILA HIZO MAKE UP WAMESILIBWA, UTAFIKIRI UGOMVI. SURA KAMA WAMEPAKA DAWA YA SURUA!

    ReplyDelete
  2. ha ha haaa..eti.sura kama wamepaka dawa ya surua lol

    ReplyDelete
  3. Hivi ni kwanini washiriki wa mashindano haya hawataki kutumia majina yao ya ukoo ya kibantu?

    ReplyDelete
  4. heee majina ya kibantu ya nini? umesahau hamchelewi kuuliza mbona wote ni wachagaaaaaaa!!!!!!! Lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...