Home
Unlabelled
mshkaki wa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mungu h=nusuru, yaani hapa ikitokea ajali inakuwaje. Hivi sheria za usalama wa barabarani zinaruhusu hivi. Na hawa watu wazima kweli wanapakia watoto katika pikipiki katika hali hii. inasikitisha sio siri. Yarabi mola wanusuru na ajali.
ReplyDeleteMdau hapo juu. Sheria zipo sana bali kuna factor nyingine zinazo-contribute ktk hili. UFUKARA na FOLENI. huyo mama waweza kuta alitakiwa kwenda say Hospital na appointment ni saa 3. Unatoka nyumbani saa 12 unapanda dala dala halafu unakwama kwenye foleni mahali labdsa kutokana na foleni ama kuna dharura. Pesa uliyonayo ni buku basi mtu anafumba macho na kujitosa kama hapo juu. Hata hivyo mimi sitetei hili.
ReplyDelete2mezoea wabongo kutofuata taratibu.Mfano stendi ya mwenge imegeuzwa soko na vibao vya maelekezo vimebomolewa, mabasi yanakwea kwenya viambaza, wa2 wanapandia madirishani, ndo zetu.
ReplyDelete