Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk Charles Tizeba akiweka saini katika kitabu cha wageni katika Stesheni ya Gulwe akishuhudiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera kulia , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra Alhaj Ahmad S.K.Kilima wa pili kushoto na Stesheni Masta wa Gulwe Nd. Hassan Idiru wa katikati anayetabasamu.
Mhe Joel Bendera Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimkaribisha Naibu Waziri wa Uchukuzi Dk Charles Tizeba ( wa tatu kulia) wakati wa kupanda viberenge umewadia kwenda katika ukaguzi wa reli.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...