Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) akipeana mkono na Adephina Matia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo Manispaa ya Ilala, katika hafla ya kukabidhi msaada wa madawati yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa na Benki ya NMB.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo katika Manispaa ya Ilala, wakibeba madawati yaliyotolewa na benki ya NMB jana kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la uhaba wa madawati shuleni hapo. Msaada huo umetolewa siku moja kabla ya kuanza kwa mtihani wa taifa wa darasa la saba

Mbunge wa jimbo la Segerea ambaye pia ni Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Makongoro Mahanga (pili kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) baada ya kukabidhi madawati kwa Shule ya Msingi Hekima yenye thamani ya sh milioni 5.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...