Home
Unlabelled
Official Trailer 'Wrong LANE'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
seriously, what is this movie about?
ReplyDelete1. uhaba wa maji ya DAWASA
2. Ulevi?
3. Mavazi ya ma miss?
4. Ujenzi holela Dar?
5.Rada ya Airpot?
6. Msiba?
7.Mikorogo at a late age?
8. Uendeshaji Dar
Wapenzi wa bongo movie poleni! hakuna jipya. bora hata wanaigeria wana shout na maujiza ya watu kuwekwa kwenye chupa
movie ina themes hizi;
ReplyDelete1) teenage sexuality,
2) effects of abortion na
3) violence against women
hakuna kipya (maisha ndivyo yalivyo) lakini hapa utakutana na NEW story tellers na NEW way of story telling.
hivyo kaa mkao wa kuwa entertained na educated!
Yani hii ndio trailer? Mbona sielewi theme. Mnajua maana ya trailer. Kama hivi vipande ndio most interesting mnategemea watu wanunue? Well najua mna aina ya wateja wenu.
ReplyDeleteHizi movie zaidi ya kutumika kuuzia sura na mavazi hamna kitu kabisa
Nakubaliana na mdau wa kwanza hapo juu. Ni kweli hakieleweki ambacho wanataka kutuma ujumbe. Ni vyema wakaweka sehemu ndogo tu ya mchezo lakini kikaeleweka.
ReplyDeleteNa hii wrong lane ndiyo nini? Si wangeandika kwa kiswahili tu, au lazima kuwe na vibwagizo vya kiingereza?
Ukoloni mamboleo unatusumbua kweli.
Movie inawezekana ikawa nzuri ila trailer hairidhishi. Ukiangalia trailer inatakiwa uwe na idea kuhusu movie, ila ukiangalia hii trailer utaona series of short clips (very short), hata hupati muda wa kusoma majina ya wahusika....nimeiangalia a couple of times lakini sijaambulia kitu. USHAURI WANGU, jaribu kutengeneza upya hii trailer na kabla hujaipublish, waonyeshe watu wachache ili watoe maoni yao. Ahsante sana na endeleeni kujitahidi....mkifanya vizuri tutawapa support yetu!
ReplyDeletewewe umetoa ushauri mzuri, utafanyiwa kazi. wazo la waandaaji lilikuwa kuwaacha watu na maswali kuliko kuwapa stori nzima kwenye trailer - lakini hakijaharibika kitu, bado kuna muda wa maboresho.
ReplyDelete