Please mkuu Michuzi post this clip for our family back home,especially wazazi wenye watoto wanao piga box ughaibuni,wajulishe mapenzi yetu kwao usipime hata kidogo,kama kikombe basi full kujaa.Kwa niaba ya wadau walioko nje ya nchi mahali popote duniani this is Love.
Mdau Ughaibuni.


Mkumbuke basi kuerudi hata mara moja kwa miaka mitatu!!mi mnachonikera mnashindwa hata kuhudhuria misiba ya wazazi weu,dada,kaka etc...its so painful kutoweza kuzika mzazi wako ..kwan mlienda kimagumashi huko!!nina mifano mingi sanaaaaaaaaa..na juzi jirani yangu kafariki hata,binti wameshindwa kuja kumzika mama..Does it click??
ReplyDeleteMdau wa kwanza, hawawezi kurudi maana hawana makaratasi.
ReplyDelete1. HUU WIMBO UNAWAHUSU (UPO DEDICATED)KWA WATU WA NCHI GANI? WAKENYA, WAGANDA, SOUTH AFRICANS AU WATANZANIA? MBONA HAKUNA SEHEMU MUIMBAJI ANATAJA HUKO ALIKOTOKEA KABALA YA KUHAMIA UGHAIBUNI? AU NDIO YALEYALE ILIMURADI UMEIMBA?.
ReplyDelete2. kuwakumbuka waliopo nyumbani siyo suala la kuwaimbia tu nyimbo za bongo fleva, watu wanataka waone mnaleta maendeleo nyumbani kwenu kutokana na mambo mema mnayojifunza ughaibuni na kwa kazi mnazofanya.
Sio wote wako nje bila makaratasi ni wachahce na wengine wanayo ni kukomaa kwao tu kutotaka kuja nyumbani,ni wengi sasa wana diaspora wanaorudi nyumbani na kuwekeza ktk nyanja mbali mbali.Wenye nia ya kurudi wanarudi na wenye kukomaa huko huko wako pia,ni sehemu ya maisha tu,hata hapo nyumbani kuna watu wako dar kwao hawajafika miaka kama kumi na ni hapo hapo nchini,so waosha vinjwa kabla ya kuwashambulia wabeba box mara ngapi umerudi kijijini kwenu kabisa?ilitakiwa kwa mwaka kama mara tatu hivi lakini kazi ya kuosha vinywa kwa wabeba box tu!!
ReplyDelete