Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa
hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa”African Green Revoultion
mjni Arusha leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na
Mwenyekiti wa Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto)
pamoja na Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates, Bibi Melinda Gates wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa” Africa Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika
katika ukumbi wa Ngurdoto mountain Lodge mjini Arusha leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo
wakati alipokuwa katika mazungumzo na
Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates
Foundation Bibi Melinda Gates wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa “African Green Revolution Forum 2012,” uliofanyika mjini
Arusha leo.
Baadhi ya wajumbe
na wageni wallikwa waliohudhuria ufunguzi wa Mkutano wa “African Green
Revolution Forum 2012,” uliofanyika katika ukumbi wa mikutano katika hoteli ya
Ngurdoto Mountain lodge mjini Arusha leo.picha na Freddy Maro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...