Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,baada ya kuwasilishwa Mada ya "Wajibu wa Masheha katika Uandikishwaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari",iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya Baraza la Mapinduzi kwa ushirikiano UNDP,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalin Seif Sharif Hamad .
Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalin Seif Sharif Hamad,alipokuwa akichangia Mada ya "Wajibu wa Serikali za Mitaa katika Kuimarisha Utalii kwa Wote",katika Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja Mstaafu.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Othman M.Othman,akiwasilisha Mada ya "Wajibu wa Serikali za Mitaa katika Kusimamia utawala Bora", katika Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo imetayarishwa Ofisi ya Baraza la Mapinduzi kwa ushirikiano UNDP.
Viongozi wa Serikali za Mitaa wa Mikoa ya Pemba,wakiwa
katika semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika
Ukumbi wa Pemba Misali Sunset beach Hotel Wesha.
Sekretarieti ya Baraza la Mapinduzi wakifuatilia kwa
makini Mijadala na michangio mbali mbali iliyotolewa na wajumbe wa
Semina ya siku tatu ya Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na
Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyomalizika leo katika
Ukumbi wa Pemba Misali Sunset Beach Hotel Wesha,semina hiyo
imetayarishwa Ofisi ya Baraza la Mapinduzi kwa Ushirikiano na UNDP.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
imetayarishwa Ofisi ya Baraza la Mapinduzi kwa Ushirikiano na UNDP.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...