Home
Unlabelled
Send Off ya Elinita Kristine Mhando yafana sana usiku huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bw Shomary hongera sana. Tangu tuonane Upanga leo umeamua kufanya kweli. Mungu akubariki muwe na nyumba yenye amani, furaha na upendo. Kaka yako Mnzava
ReplyDeleteSunday hongera sana kamanda, bali hili jina la Mhando ndio una bahati nalo maana before ulikuwa na Mhando. Wabondei wamekupenda na ww umewapenda mwenyezi mungu akubariki muwe na ndoa yenye fuhara, upendo na amani. Amen
ReplyDeleteSunday kumbe ulikuwa bado upo upo. Nakumbuka ulikuwa mbele yangu pale Forodhani....mimi nilishavuta jiko loooong time kitambo
ReplyDeleteUkweli unabaki kuwa kulingana na wimbi halisi la maisha yalivyo kwa sasa Jambo la ndoa ni patapotea!
ReplyDeleteUsije ukamuona mtu amechelewa kuingia ktk ndoa ukajenga imani labda jamaa sio kamili au ana walakini, kumbe pana mambo kama haya:
1-Unaweza kuingia mkenge ukaja juta kwa kumpata mtu asiyekuwa sahihi ukabaki kujutia maisha!
2-Mahusiano mengi kwa sasa (hayapo kwa mapenzi ya dhati na ukweli) bali yapo kimaslahi zaidi na ndio maana mabadiliko ya kihali yakitokea ndio mwanzo wa mifarakano na kupelekea kulega lega na kuvunjika kwa mahusiano.
Mfano mabadiliko chanya au hasi yajaweza kuvunja mahusioano na ndoa.
-Kama kipato kikiongezeka watu wanaweza kupata tabia tofauti na walivyokuwa mwanzoni wakiwa hawana kitu ambapo waliweza kuishi vyema.
-Kama kipato kikipungua au kuondoka (pia kuingia kwa matatizo kama maradhi) ndio kabisa mifarakano inatokea na mahusiano na ndoa kuvunjika.
3-Mwenza mwema naandaliwa na Mwenyezi na wala sio kupitia Uratibu na mipango ya watu wanavyotaka.
CHANGAMOTO KTK MAHUSIANO KWA MAISHA YA SASA NI KUBWA MBELE YATU,
MUNGU ATUSAIDIE!