Bendi ya muziki wa dansi ya Skylight ikifanya vitu yake usiku huu katika kiota cha Thai Village jijini Dar es Salaam,bendi hii ambayo ni mpya katika tasnia ya muziki wa dansi imekuwa ikifanya vizuri kadri siku zinavyozidi kwenda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...