Wanafunzi wote wa zamani wa St. Mary's High School ya Mbezi Beach, Mnakaribishwa kwenye Re-Union party, itakayofanyika jumamosi hii ya terehe 29 pale Escape iliyopo eneo ya Mbezi beach mjini Dar-es-Salaam, mita chache tu mbele ya Giraffe Hotel kuanzia saa sita mchana mpaka late. Ticket zipotayari na kila ticket ni Tsh. 25,000 tu, ambayo itajumuisha kiingilio, kinywaji kimoja, chakula(buffet)na mengineyo. Ticket zinatakiwa kununuliwa kabla ya ijumaa na zinapatikana kupitia waandalizi ambao majina yao na namba za simu zao zipo kwenye tangazo. karibuni Sana tujikumbushie yaliyotusibu kipindi tukiwa pamoja shule.
Home
Unlabelled
ST. MARY'S HIGH SCHOOL RE-UNION PARTY @ Escape 2 in Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...